Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Waziri wa Nishati na Migodi wa
Algeria Mhe. Youcef Yousif aliyemtembelea Ikulu Dar es salaam Jana
Desemba 7, 2014
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete katika picha ya Pamoja na Waziri wa Nishati na
Migodi wa Algeria Youcef Yousif pamoja na ujumbe wake, pamoja na Waziri
wa Nishati na Madini wa Tanzania Profesa Sospter Muhongo Naibu Waziri wa
Nishati na Madini Mhe Steven Masele na Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati
na Madini Mhe E. maswi ugemi huo ulipomtembelea Ikulu jijini Dar es
salaam leo Desemba 7, 2014.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na Waziri wa Nishati na
Migodi wa Algeria Mhe. Youcef Yousif aliyemtembelea Ikulu Dar es salaam
Jana Desemba 7, 2014
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete katika picha ya Pamoja na Waziri wa Nishati na
Migodi wa Algeria Youcef Yousif pamoja na ujumbe wake, pamoja na Waziri
wa Nishati na Madini wa Tanzania Profesa Sospter Muhongo Naibu Waziri wa
Nishati na Madini Mhe Steven Masele na Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati
na Madini Mhe E. maswi ugemi huo ulipomtembelea Ikulu jijini Dar es
salaam leo Desemba 7, 2014.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akimsindikiza Waziri wa Nishati na Migodi wa

Post a Comment