Balozi
wa Tanzania nchini Marekani, Liberata Mulamula, akizungumza na uongozi
wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Dar es Salaam, kuwataka
NSSF kufungua Ofisi zitakazotoa huduma za Westadi nchini Marekani ambazo
zitawasaidia watanzania waishio nje ya nchi kusafirisha mwili wa
marehemu pamoja na kupata huduma ya matibabu kwa ndugu wanne waliopo
nchini. Kushoto ni Kaimu Meneja Kiongozi na Huduma kwa Wateja wa NSSF,
Theopista Muheta.
Balozi
wa Tanzania nchini Marekani, Liberata Mulamula (kulia), akizungumza na
uongozi wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Dar es Salaam,
kuwataka NSSF kufungua Ofisi zitakazotoa huduma za Westadi ambayo
itawasaidia watanzania waishio nje ya nchi kusafirisha mwili wa marehemu
ikiwemo huduma ya matibabu kwa ndugu wanne waliopo nchini. Kushoto
niKaimu Mkurugenzi Mkuu wa NSSF, Chiku Matessa.
Ofisa Mwandamizi wa huduma za Westadi, Boniface Kanemba akifafanua jambo wakati wa mkutano huo.
Maofisa wa NSSF wakiwa katika mkutano huo.
Ofisa Uhusiano Mwandamizi wa NSSF, Juma Kintu (kulia), Ofisa wa NSSF, Neila Kambaya na Halima Mgala.
Kaimu Mkurugenzi wa Uwekezaji wa NSSF, Abdalah Mseli akizungumza katika mkutano huo.
Balozi wa Tanzania nchini Marekani, Liberata Mulamula akiwa katika picha ya pamoja
Balozi wa Tanzania nchini Marekani, Liberata Mulamula akiwa katika picha ya pamoja na Maofisa wa Westadi.
Balozi
wa Tanzania nchini Marekani, Liberata Mulamula (kushoto), akipokea
zawadi kutoka kwa Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa NSSF, Chiku Matessa.
Post a Comment