Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

RAIS KIKWETE KULIAPISHA BARAZA LA MAWAZIRI LEO SAA 10:30 JIONI ... TUJIKUMBUSHE MATUKIO YA UAPISHWAJI WA BARAZA LILILOPITA ULIVYOKUWA




Rais Jakaya Kikwete, akimuapisha  Amos Makala
 Rais Jakaya Kikwete, akimuapisha Januari Makamba,  kuwa Naibu Waziri wa Mawasiliano
 Rais Jakaya Kikwete, akimuapisha Saada Mkuya Salum
  Rais Jakaya Kikwete, akimuapisha Janeth Mbene
 Rais Jakaya Kikwete, akimuapisha , Dkt. Fenella E. Mukangara, kuwa Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo
 Rais Jakaya Kikwete, akimuapisha Eng. Christopher Chiza, kuwa Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika
 Rais Jakaya Kikwete, akimuapisha Dkt. Hussein Mwinyi
 Rais Jakaya Kikwete, akimuapisha, Angela Jasmine Kairuki, kuwa Naibu Waziri wa Katiba na Sheria
Dk. Harrison Mwakyembe akila kiapo kuwa Waziri wa Uchukuzi mbele ya Rais Jakaya Kikwete
Mhe Hawa Ghasia akila kiapo mbele ya rais Jakaya Kikwete
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top