Rais
wa Jamhuri ya Comoro Mheshimiwa DR. Ikililou Dhoinine akiwasili kwenye
uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Zanzibar na Kupokea na Makamu wa Pili wa
Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi kwa ajili ya kuhudhuria kilele
cha maadhimisho ya sherehe za kutimia miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Rais wa Jamhuri ya
Comoro Mheshimiwa Dr. Ikililou Dhoinine akisalimiana na baadhi ya wana
jumuiya ya Wakfi ya Wangazija hapa Zanzibar waliofika uwanja wa ndege wa
Kimataifa wa Zanzibar Kumpokea.
Makamu
wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif akibadilishana mawazo na mgeni
wake Rais wa Jamhuri ya Comoro Mheshimiwa DR. Ikililou Dhoinine kwenye
chumba cha watu mashuhuri(VIP)hapo uwanja wa ndege wa Zanzibar.Picha na Hassan Issa-Ofisi ya Makamu
wa Pili wa Rais wa Zanzibar
Post a Comment