Mke wa Marehemu Mzee Liundi akiweka shada la maua.
Mtoto
mkubwa wa Marehemu JAji George Bakari Liundi, ndg. Taji Liundi na Mkewe
wakiweka shada la Maua kwenye Kaburi la Baba yao,wakati wa mazishi yake
yaliyofanyika leo kwenye Makaburi ya Chang'ombe jijini Dar es Salaam
leo.
Watoto wengine wa Marehemu.
Waziri
wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – Sera, Uratibu na Bunge, Willium Lukuvi
akiweka shada la maua kaburini kwa niaba ya Serikali.
Msajili wa Vyama vya Siasa,Jaji Francis Mutungi akiweka shada la maua kwenye Kaburi la Jaji George Bakari Liundi.
Mwenyekiti wa Tume ya Katiba,Jaji Joseph Walioba akiweka shada la Maua kaburini.
Kateksta
akiongoza ibada ya maziko ya Jaji George Bakari Liundi yaliyofanyika
leo katika makaburi ya Chang'ombe Maduka Mawili jijini Dar es Salaam.
Waombolezaji waliofika makaburini.
Mwili wa Marehemu Jaji George Bakari Liundi ukishushwa kaburini.
Umati wa waombolezaji.
Kateksta akitia mchanga
Mke wa Marehemu George Bakari Liundi akiweka mchanga.
Mtoto wa Marehemu,aitwae Lulu akiweka mchanga kaburini.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,Mh. Said Meck Sadick akiweka mchanga kaburini.
Viongozi mbali mbali.
Mh. Lukuvi akiteta jambo na Mh. Sadick wakati wa Mazishi ya Jaji George Liundi.
Mtoto mkubwa wa Marehemu akiweka msalaba kwenye kaburi la Baba yake.
Post a Comment