Sehemu
ya Vikosi vya Ulinzi na Usalama vilivyoshiriki kwenye Sherehe za
Maadhimisho ya miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar,yanayoendelelea
kufanyika hivi sasa kwenye uwanja wa Amani,Zanzibar leo.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Ali Mohamed
Shein akikagua gwaride la heshima wakati wa kilele cha sherehe za miaka
50 ya Mapoinduzi ya Zanzibar katika uwanja wa Amani Abeid Karume leo
January 12, 2014.
Vijana
wakiachia njiwa kama alama ya amani wakati wa kilele cha sherehe za
miaka 50 ya Mapoinduzi ya Zanzibar katika uwanja wa Amani Abeid Karume
leo January 12, 2014.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mheshimiwa Ali Mohamed Shein wakimpongeza Rais Yoweri Kaguta
Museveni aliyeongea machache wakati wa kilele cha sherehe za miaka 50 ya
Mapoinduzi ya Zanzibar katika uwanja wa Amani Abeid Karume leo January
12, 2014
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akimpongeza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Ali Mohamed Shein kwa hotuba nzuri
aliyotoa wakati wa kilele cha sherehe za miaka 50 ya Mapoinduzi ya
Zanzibar katika uwanja wa Amani Abeid Karume leo January 12, 2014.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Rais Yoweri Kaguta Museveni wakiongea wakati wa kilele cha sherehe za miaka 50 ya Mapoinduzi ya Zanzibar katika uwanja wa Amani Abeid Karume leo January 12, 2014.
PICHA NA IKULU.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Rais Yoweri Kaguta Museveni wakiongea wakati wa kilele cha sherehe za miaka 50 ya Mapoinduzi ya Zanzibar katika uwanja wa Amani Abeid Karume leo January 12, 2014.
PICHA NA IKULU.
Post a Comment