Meneja Mauzo wa Kampuni ya Bia Tganzania (TBL), Kanda ya Ilala, Jesca
Njau (kushoto) akimkabidhi Meneja wa Kampuni ya NJ Hydro Drilling,
Arnold Mwanga, mfano wa hundi yenye thamani ya sh. mil. 57, ikiwa ni
msaada wa kuchimba kisima cha maji katika Zahanati ya Mvuti, wilayani
Ilala, Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Anayeshuhudia katikati ni Mganga
Mfawidhi wa zahanati hiyo, Mary Kalonge.
Mganga Mfawidhi wa zahanati hiyo, Mary Kalonge (katikati) akitoa shukurani kwa Meneja Mauzo wa TBL, Jesca Njau kwa msaada huo kutoka TBL.
Mwanafunzi wa Masuala ya Uhusiano aliye katika mafunzo kwa vitendo TBL, Bertha Mturi akiwa amembeba mmoja wa watoto waliofika kupata matibabu katika Zahanati ya Mvuti.
Wananchi wa Mvuti wakishuhudia Mkandarasi wa Kisima akikabidhiwa msaada wa fedha za kugharamia ujenzi wa kisima hicho.
Wafanyakazi wa TBL wakiwa na baadhi ya wauguzi wa Zahanati hiyo ya Mvuti baada ya kukabidhi hundi.
Meneja Mauzo wa Kampuni ya Bia Tganzania (TBL), Kanda ya Ilala, Jesca Njau (kushoto) akimkabidhi Meneja wa Kampuni ya NJ Hydro Drilling, Arnold Mwanga, mfano wa hundi yenye thamani ya sh. mil. 57, ikiwa ni msaada wa kuchimba kisima cha maji katika Zahanati ya Mvuti, wilayani Ilala, Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Anayeshuhudia katikati ni Mganga Mfawidhi wa zahanati hiyo, Mary Kalonge.
Mganga Mfawidhi wa Zahanati ya Mvuti, Mary Kalonge akitoa shukurani kwa TBL kupatiwa msaada huo muhimu.
Mmoja wa wananchi wa Kijiji cha Mvuti, akitoa shukurani kwa TBL kwa zahanati hiyo kupatiwa msaada wa kisima cha maji. Kulia ni Bertha Mturi kutoka TBL
Majengo ya Zahanati ya Mvuti. (PICHA ZOTE NA KAMANDA WA MATUKIO BLOG

Post a Comment