Na Hamida Hassan
STAA wa filamu za Kibongo, Wastara Juma ameibua maswali baada ya kuonekana akifakamia ubuyu kwa wingi huku wengi wakidhani labda amenasa! Tehe!
Risasi Mchanganyiko lilimuweka mtu kati ambapo alisema: “Jamani... mimi napenda tu ubuyu kama ambavyo mtu mwingine anaweza kupenda biskuti au pipi. Kwangu mimi ni kiburudisho tu, hakuna cha zaidi.”
STAA wa filamu za Kibongo, Wastara Juma ameibua maswali baada ya kuonekana akifakamia ubuyu kwa wingi huku wengi wakidhani labda amenasa! Tehe!
Wastara Juma.
Mkali huyo wa hisia awapo mbele ya kamera, alinaswa na kamera yetu
hivi karibuni akiwa lokesheni na wasanii wengine ambao nao pia walikula
lakini si kwa sana kama yeye.Risasi Mchanganyiko lilimuweka mtu kati ambapo alisema: “Jamani... mimi napenda tu ubuyu kama ambavyo mtu mwingine anaweza kupenda biskuti au pipi. Kwangu mimi ni kiburudisho tu, hakuna cha zaidi.”
Post a Comment