Waziri mkuu mstaafu na mbunge wa Monduli Edward
Lowassa akiwasalimia wageni waalikwa.
Waziri mkuu mstaafu na mbunge wa Monduli Mh Edward Lowassa akizungumza
katika sherehe ya mwaka mpya nyumbani kwake Ngarashi Monduli.Pembeni
yake ni mkewe mama Regina Lowassa.
Akizungumz a na Naibu waziri wa ardhi na nyumba OleMedei
Wageni waalikwa mbalimbali
Mwenyekiti wa wenyeviti wa uvccm Manko Hiru akizungumz a katika sherehe hizo
Post a Comment