Mwenyekiti
mpya wa Bodi ya Baraza la Kiswahili la Taifa (BAKITA) Bi. Martha Qorro
akimkaribisha Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dr. Fennela
Mukangara (wa kwanza aliyekaa kulia) kuzindua Bodi hiyo jijini Dar es
Salaam leo.wapili kutoka kulia ni Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya
Utamaduni Prof. Hermas Mwansoko.
Waziri
wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dr. Fennela Mukangara akiongea
na Wajumbe wa Bodi ya Baraza la Kiswahili la Taifa mara alipozindua Bodi
hiyo jana jijini Dar es Salaam leo.
Mwenyekiti
aliyemaliza muda wake wa Bodi ya Baraza la Kiswahili la Taifa Bw.
Selemani Hegga akitoa shukrani zake kwa wajumbe wa Bodi hiyo hawapo(
pichani) katika shughuli ya uzinduzi wa Bodi hiyo iliyofanyika jijini
Dar es Salaam leo.
Katibu
Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bi Sihaba Nkinga
akipata maelezo mafupi kutoka kwa Kaimu Katibu Mtendaji wa Baraza la
Sanaa Tanzania (BASATA) Bw. Godfrey Mngereza kuhusu Ukumbi wa ndani wa
Maonyesho wa Sanaa alipotembelea BASATA leo jijini Dar es Salaam (jana),
watatu kutoka kulia ni Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleao ya Utamaduni
Prof. Hermas Mwansoko.
Katibu
Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bi Sihaba Nkinga
akitoa maelekezo kwa Wadau wa Sanaa alipotembelea Baraza la Sanaa
Tanzania (BASATA) kujionea shughuli zinazofanywa na Baraza hilo,nyuma ni
Kaimu Katibu Mtendaji wa Baraza la Sanaa Tanzania (BASATA) Bw. Godfrey
Mngereza.
Post a Comment