Waziri
wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Mathias Meinrad CHIKAWE (Mb), Akiweka
sahihi katika kitabu maalum mara baada ya kuwasili katika Wizara ya
Mambo ya Ndani ya Nchi leo, anayefuatia (kulia) Naibu Waziri wa Wizara
hiyo Mhe. Pereira Ame Silima (mb). (Picha na Demetrius Njimbwi, Jeshi la
Polisi.)
on Wednesday, January 22, 2014
Post a Comment