Picha na Maktaba
Daraja
la Dumila mkoani Morogoro lililopo barabara ya Dodoma - Morogoro
limekatika na magari hayapiti baada ya mvua kubwa kunyesha usiku wa
kuamkia leo. Baadhi ya magari yatokayo upande wa Dodoma na Moro yameamua
kugeuza na kurudi yalipotokea maana hakuna njia nyingine zaidi ya hiyo.
Post a Comment