Maji
ya mafuriko yakipita kwa kasi kando ya daraja la mto Magole wilaya ya
Kilosa na kufanya matumizi ya barabara ya Dodoma-Morogoro kushindwa
kutumika kutokana na mafuriko kuharibu miundombinu ya barabara
yaliyotokana na mvua kubwa kunyesha maeneo mbalimbali ya wilaya hiyo
mkoani Morogoro na kusababisha mabasi ya abiria na malori kushindwa
kusafiri na kulazimika kuzunguka barabara ya Melela, Kimamba kisha
Dumila kuendelea na safari ya Dodoma leo huku magari mengine yakiwa
yamekwama. PICHA/MTANDA BLOG.
on Wednesday, January 22, 2014
Post a Comment