Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

WABUNGE WAFUATILIA MIRADI YA WANAWAKE TANGA

 



IMG_2306
Kaimu Mwenyekiti wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Maendeleo ya Jamii Mhe. Said Mtanga akitambulisha wajumbe wa Kamati yake kwa Mkuu wa Mkoa wa Tanga Bibi Chiku Ngalawa wakati wa ufuatiliaji wa fedha ya Mfuko wa Maendeleo ya Wanawake katika mkoa wa Tanga, tarehe 21/1/2014. Picha na Erasto ching’oro WMJJW. IMG_2334
Kaimu Mwenyekiti wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Maendeleo ya Jamii Mhe. Said Mtanga akisaini kitabu cha wageni cha Kikundi cha Maendeleo ya wanawake Vumilia kinacholima zao la mwani katika kijiji cha Saadani  kata ya Tongoni jijini Tanga tarehe 21/1/2014. Picha na Erasto ching’oro WMJJW.

IMG_2352
Mwenekiti wa Kikundi cha Maendeleo ya Wanake Bibi Hadija Saida akionesha zao la mwani linalolimwa baharini wakati alipotembelewa na Kamati ya kudumu ya Bunge ya Maendeleo ya Jamii na baadhi ya viongozi wa juu wa Harimashauri ya jiji la Tanga tarehe 21/01/2014. Picha na Erasto ching’oro WMJJW. IMG_2394
Mwenyekiti wa kikundi cha Sanaa Endelevu ‘Arts and Culture’ Bibi Mariam Makoko cha barabara ya 5 jijini Tanga (aliyeko katikati mlangoni) akitoa maelezo kwa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Maendeleo ya Jamii kuhusu matumizi ya fedha ya Mfuko wa Maendeleo ya wanawake katika kujiletea maendeleo. Picha na Erasto ching’oro WMJJW.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top