 |
Mbunge wa Jimbo la Iringa Mjini, Mch Peter Msigwa sambamba na mtuhumiwa mwingine
akiwa ndani ya mahakama ya wilaya ya Iringa jana kabla ya kuahirishwa kwa kesi yakeya kujeruhi mtu
|
 |
Mbunge wa Jimbo la Iringa Mjini, Mch Peter Msigwa akizungumza na wakili anayemtetea
katika kesi yake ya kujeruhi mtu kwenye kampeni za siasa, Lwezaula Kaijage |
 |
 |
| Mbunge wa Jimbo la Iringa Mjini, Mch Peter Msigwa sambamba na mtuhumiwa mwingine akiingizwa mahakama ya wilaya ya Iringa jana kujibu mashataka ya kujeruhi yanayomkabili |
|
on Thursday, February 6, 2014
Post a Comment