Ni
muda kidogo mtangazaji Dina Marious hajasikika kwenye Leo Tena ya
Clouds FM ambayo amekua akiifanya, kama hukuwahi kupata jibu ni kwamba
alikua mjamzito ambapo kwa sasa ameshajifungua na kushea hiyo picha ya
mtoto wao, yeye na mtangazaji mwenzie Reuben Ndege maarufu Nchakalih.
Hongereni Dina na Reuben, TZA inawatakia maisha mema na yenye mafanikio.
Post a Comment