Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

DIWANI MTEULE WA KATA YA SOMBETINI MHE. ALLY BANANGA AKARIBISHWA OFISINI

 

Diwani Mteule Mhe. Ally Bananga akisaini kitabu cha wageni ofisini Manispaa ya Jiji la Arusha, na Mhe. Ephata Nanyaro Diwani wa Kata ya Levolosi (pembeni kushoto) kwa nyuma ni Mbunge wa Arusha Mjini Mhe. Godbless Lema.
Afisa Utumishi Manispaa ya Jiji la Arusha akitoa somo kwa Diwani mteule wa Sombetini Mh Ally Bananga (hayupo pichani).
Mhe. Godbless Lema Mbunge wa Arusha Mjini akimsindikiza Mhe. Ally Bananga (Diwani Mteule Kata ya Sombetini)
Mh Ngowi Mbunge viti Maalum Kilimanjaro akisaini kitabu cha wageni, nae alimsindikiza Diwani Mteule Mh.Ally Bananga.
CREDIT: WAZALENDO 25 BLOG
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top