Umati wa wananchi ukiwa umejitokeza katika maadhimisho hayo. 
Vijana wapatao 37 wakirusha juu njiwa 37 ikiwa ni ishara ya kutimiza miaka hiyo kwa amani 
Moja ya kundi la TOT ndogo likitumbuiza katika maadhimisho hayo. 
Gwaride la Chipukizi likitoa heshima kwa Mwenyekiti wa Chama chama Mapinduzi Dr. Jakaya Kikwete.
Kiapo cha Utii kwa chama 
Heshima kwa chama zikiendelea. 
Mwigizaji
wa filamu Jacob Steven JB akizungumza kwa niaba ya wenzake kabla ya
waigizaji hao wa Bongo Movie kukabidhiwa kadi zao na Rais Jakaya Kwete
kwenye uwanja wa Sokoine leo 
Mwigizaji
wa filamu Jacob Steven JB akizungumza kwa niaba ya wenzake kabla ya
waigizaji hao wa Bongo Movie kukabidhiwa kadi zao na Rais Jakaya Kwete
kwenye uwanja wa Sokoine leo, kulia ni Nape Nnauye Katibu wa NEC
Siasa,Itikadi na Uenezi.
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Dr. Jakaya Kikwete akikabidhi bajaji kwa mmoja wa walemavu ambaye alimuahidi kumpatia bajaji hiyo. mMwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Dr. Jakaya Kikwete aki 
Rais
Dr. Jakaya Kikwete akipiga picha ya pamoja na wasanii waigizaji wa
filamu mara baada ya kuwakabidhi kadi zao kwenye uwanja wa Sokoine
jijini Mbeya leo
Rais Dr. Jakaya Kikwete akimkabidhi kadi ya uanachama Irene Uwoya mara baada ya kujiunga na chama hicho leo
Irene Uwoya mwigizaji wa filamu akiwa anazongwa na mashabiki wake kwenye uwanja wa Sokoine leo.
Nyomi la wananchi likiwa limefurika kwenye uwanja wa Sokoine 
Nyomi la wananchi likiwa limefurika kwenye uwanja wa Sokoine
Nape
Nnauye Katibu wa NEC Itikadi, Siasa na Uenezi kulia , Sixtus Mapunda
Katibu Mkuu wa UVCCM Taifa na Kada wa CCM Bw. Mawakipesile wakiserebuka
na wanachama wengine wa CCM katika maadhimisho hayo.


Post a Comment