Rais
Mstaaf wa Zanzibar Dkt. Amani Abeid Karume akiwasilikatika viwanja vya
Skuli ya Kiembesamaki kupiga kura yake kumchagua Mwakilishi wa Jimbo la
Kiembesamaki
Rais
Mstaaf wa Zanzibar Dkt. Amani Abeid Karume akihakikiwa katika Daftari la
WapigaKura la Jimbo la Kiembesamaki alipofika kituo hapo kupiga kura
yake kumchagua Mwakilishi wa Jimbo hilo.
Post a Comment