EPUKA MATAPELI HAWA... Dakika kadhaa zilizopita,Mh Zitto Kabwe ametangaza kutokuhusika na mkopo unaotangazwa kupitia mtandao http:// www.zittokabwe-foundation.w apka.mobi/,
ambapo licha ya kutoa background ya mfuko huo, wadhamini kuonyesha kama
ni halali pamoja na picha za Zitto, pia kuna sehem ambayo inamtaka mtu
ajaze form kwa ajili ya kupata mkopo. Kupitia kwenye mtandao wa kijamii,
Zitto amekanusha kuhusika na mfuko huo wa mkopo na kuwaomba watu wawe
makini na matapeli hao. ILINIBIDI KUFUATILIA ILI KUWEZA KUJUA WATU HAO
WANA TOA FOMU VIP NDO WALICHO NIJIBU KWENYE PICHA... KUWA MAKINI
MTANZANIA MWENZANGU USIWE MWEPESI KUDANGANYIKA..
Loading...
Home » Unlabelled » HUU NDO UJUMBE UNAOTUMIWA NA MATAPELI WANAOTUMIA JINA LA ZITTO KABWE KUTAPELI, USOME HAPA USIJE KUIBIWA.
BLOG RAFIKI
-
-
-
-
-
Kwa Undani7 hours ago
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
Post a Comment