Muigizaji wa filamu, Jacqueline Wolper anatamani kufanya kile Beyonce
anachokifanya kwenye soda za kopo za Pepsi. Muigizaji huyo ameamua
kujipigia promo mwenyewe kwa kutengeneza picha yake inayoonekana kwenye
kopo la soda ya Sprite...
“No syo hvyoo ni nini tuu bebe nikatika hali yaakutafuta kazi bila
kutafutwa kho kho!!!msg dlvr sprt follw me,” ameandika Wolper kwenye
picha aliyoweka kwenye mtandao wa Instagram.
Wolper anapendeza kuwa kwenye soda za kopo za Sprite?
Post a Comment