Waziri
Mkuu ambaye pia ni Mjumbe wa Mkutano Maalum wa Bunge la Katiba Mizengo
Peter Pinda (kushoto) akibadilishana mawazo na wajumbe mwenzake (kulia)
wa Mkutano wa Bunge Maalum la Katiba jana mjini Dodoma wakati wa
mapumziko.
Mjumbe
wa Mkutano wa Bunge Maalum la Katiba Joshua Nasari(kushoto)
akibadilishana mawazo na Mjumbe mwenzie ambaye pia ni Naibu Waziri wa
Elimu na Mafunzo ya Ufundi Jenista Mhagama(kulia) jana mjini Dodoma
wakati wa mapumziko.
Waziri
Mkuu ambaye pia ni Mjumbe wa Mkutano Maalum wa Bunge la Katiba Mizengo
Peter Pinda (kushoto) akibadilishana mawazo na mjumbe mwenzake Said
Mtanda (kulia) jana mjini Dodoma wakati wa mapumziko.
Mjumbe
wa Mkutano wa Bunge Maalum la Katiba ambaye pia ni Naibu Waziri wa
Fedha Mwingulu Nchemba (kushoto) akibadilishana mawazo na wajumbe
mwenzie Zitto Kabwe(kulia) na Albert mjini Dodoma wakati wa mapumziko.
Wajumbe
wa Mkutano wa Bunge Maalum la Katiba wakibadilishana mawazo na jana
mjini Dodoma wakati wa mapumziko.Picha na MAELEZO-Dodoma.
Post a Comment