Mwenyekiti
wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Jakaya
mrisho Kikwete akiongoza kikao cha NEC mjini Dodoma na kuwaambia wana
CCM kuwa uvumilivu una ukomo wake hivyo waache unyonge.
Baadhi
ya Wajumbe wa NEC wakimsikiliza Mwenyekiti wa CCM Taifa Dk.Jakaya
Mrisho Kikwete wakati wa kikao cha NEC kilichoanza jioni ya leo mjini
Dodoma .Picha Na Ikulu
Mwenyekiti
wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Jakaya
Mrisho Kikwete akiwasili kwenye uwanja wa ndege wa Dodoma tayari
kuongoza kikao cha NEC kilichoanza jioni ya leo mjini Dodoma.
Mwenyekiti
wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Jakaya
Mrisho Kikwete akisalimiana na Viongozi wa CCM Mkoa wa Dodoma mara tu
alipowasili kwenye uwanja wa ndege mjini Dodoma.
Mwenyekiti
wa CCM Taifa Dk.Jakaya Mrisho Kikwete akiangalia ngoma ya asili kutoka
kikundi cha ngoma cha mkoa wa Dodoma wakati wa mapokezi kwenye uwanja wa
ndege wa Dodoma,Mwenyekiti wa CCM Taifa amewasili jioni ya leo Dodoma
tayari kuongoza kikao cha NEC kitakachofanyika kwa siku mbili.
Mwenyekiti
wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Jakaya
mrisho Kikwete akiongoza kikao cha NEC mjini Dodoma na kuwaambia wana
CCM kuwa uvumilivu una ukomo wake hivyo waache unyonge.
Baadhi
ya Wajumbe wa NEC wakimsikiliza Mwenyekiti wa CCM Taifa Dk.Jakaya
Mrisho Kikwete wakati wa kikao cha NEC kilichoanza jioni ya leo mjini
Dodoma .
Mjumbe
wa NEC Ndugu Bernard Membe akijadiliana jambo ndani ya ukumbi wa NEC na
Martine Shigela kabla ya kuanza kwa kikao cha NEC mjini Dodoma.
Katibu
wa NEC Siasa na Uhusiano wa Kimataifa Dk.Asha-Rose Migiro pamoja na
Katibu wa NEC Uchumi na Fedha Zakhia Hamdani Meghji wakipitia makablasha
kabla ya kuanza kwa kikao cha NEC mjini Dodoma.
Naibu
Katibu Mkuu CCM (Bara) Ndugu Mwigulu Lameck Nchemba akijadiliana jambo
na Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye kabla ya kuanza kwa kikao
cha NEC mjini Dodoma.
Post a Comment