 |
| Mkurugenzi
wa Idara ya Habari (MAELEZO) Assah Mwambene,Meneja Mawasiliano wa
Mamlaka ya Udhibiti wa Mawasiliano Tanzania Innocent Mungy (mwenyeshati
la mistari) na Mkurugenzi wa Idara ya Utamaduni toka Wizara ya
Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo Prof.Hermas Mwansoko (katikati)
wakimkabidhi kiroba cha mchele moja ya Wazee wa Kituo cha Mwanzange
Mkoani Tanga, ikiwa ni sehemu ya msaada uliotolewa na Maafisa Habari na
Mawasiliano wa Serikali katika kikao kazi kinachoendelea Mkoani humo. |
 |
| Mkurugenzi
wa Idara ya Utamaduni toka Wizara ya Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo
Prof.Hermas Mwansoko akimkabidhi Afisa Ustawi wa Jamii anayesimamia
kituo hicho cha wazee Bi Otilia Daniel fedha za kununulia mahitaji
mengine wakati wa ziara ya kutoa msaada katika kituo hicho leo Mkoani
Tanga. |
 |
| Nyumba za Makao ya Wazee za Mwanzange Mkoani Tanga. |
 |
| Baadhi ya Maafisa Habari na Mawasiliano waliotembelea kituo cha wazee cha Mwenzange Mkoani Tanga |
 |
| Maafisa
Habari na Mawasiliano wa Serikali wakiwa katika picha ya pamoja na
baadhi ya wazee wa kito cha Mwanzange ambapo walitoa Unga sembe Kilo
200,mchele kilo 300,mafuta ya kupikia dumu 2,mafuta ya kupaka,dawa za
meno,chumvi,sukari,maharage,nyama,majani ya chai,kanzu,misuli pamoja na nguo za kinamama. |
(Picha Na Hassan Silayo)
on Thursday, February 6, 2014
Post a Comment