Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akihutubia wakati wa onesho maalum la Miale ya Nuru, iliyoandaliwa na
Taasisi ya Aga Khan kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es
Salaam, jana usiku Feb 11, 2014.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akisikiliza maelezo kutoka kwa Ofisa Mipango wa Aga Khan, Navroz Lakhan,
wakati alipokuwa akitembelea kujionea maonesho ya kumbuku ya Miale ya
Nuru, iliyoandaliwa na Taasisi ya Aga Khan kwenye ukumbi wa Diamond
Jubilee jijini Dar es Salaam, jana usiku Feb 11, 2014.
Mke wa
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Asha Bilal,
akisikiliza maelezo wakati alipokuwa akitembelea kujionea maonesho ya
kumbuku ya Miale ya Nuru, iliyoandaliwa na Taasisi ya Aga Khan kwenye
ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam, jana usiku Feb 11, 2014.
Picha na OMR
Post a Comment