| Wananchi wa Tanangozi katika wilaya ya Iringa wakimsaidia kijana mwendesha boda boda asiye na viatu baada ya kugongwa na taxi yenye namba T 6338 AWV mbele |
| Hili ndilo gari lilolomgonga mwendesha boda boda likiwa limezuiliwa na wananchi |
| Mbunge wa jimbo la Ludewa Deo Filikunjombe kushoto akiwatuliza vijana wen ye hasira kali ambao walitaka kuliharibu kali hilo na kumpiga dereva wake |
| Vijana wakimbana dereva wa Taxi wa tatu kushoto |
| Dereva wa Taxi hiyo kushoto akilalamikia kichapo kwa mbunge Filikunjombe kulia ni mke wa dereva huyo |
| Vijana madereva wa malori akiandaa dawa kwa ajili ya kumpa huduma ya kwanza dereva boda boda aliyegongwa |
| Mbunge wa jimbo la Ludewa Deo Filikunjombe kulia akimuelekeza dereva wa Taxi ambae alimgonga mwendesha boda boda na kumsababishia majeraha katika barabara kuu ya Iringa- Mbeya |
| Mbunge Filikunjombe kushoto akiwa na dereva wa gari lilolomgonga mwendesha boda boda wakiitazama boda boda iliyogong |
Imechapishwa na
godson kiondo
on Wednesday, February 26, 2014


Post a Comment