Mbunge
wa Shinyanga mjini ambaye pia ni Naibu Waziri wa Madini Ndugu Stephen
Masele akizungumza kwenye mkutano na wakina Mama na Baba Lishe wa
Shinyanga mjini ambapo aliwasaidia kufungua SACCOS na kuwaongezea mtaji
wa biashara yao.
Wakina
Mama Lishe ambao wengi ni Wajane na Yatima wa Shinyanga mjini
wakishangilia jambo wakati wa hotuba ya Mbunge wao Ndugu Stephen
Masele,kwenye ukumbi wa NSSF CCM mkoa wa Shinyanga uliofanyika jana
tarehe 26 Februari 2014.
Wakina
Mama Lishe ambao wengi ni Wajane na Yatima wa Shinyanga mjini
wakishangilia baada ya kuwezeshwa pesa kwenye mitaji ya biashara yao
Mbunge wao Ndugu Stephen Masele,kwenye ukumbi wa NSSF CCM mkoa wa
Shinyanga uliofanyika jana tarehe 26 Februari 2014.
Wakina
Mama Lishe ambao wengi ni Wajane na Yatima wa Shinyanga mjini wakipeana
mikono na Mbunge wao Ndugu Stephen Masele baada ya kuwawezesha kuwa na
SACCOSS pia kuwasaidia mtaji wa zaidi ya shilingi milioni nane,kwenye
ukumbi wa NSSF CCM mkoa wa Shinyanga uliofanyika jana tarehe 26
Februari 2014.
Post a Comment