Mchezaji wa Kimataifa Emmanuel Okwi
amesimamishwa kucheza Soka kwa Muda Kutokana na matatizo ya Uhamisho
wake kutoka Simba kwenda Tunisia,Pia Kutoka Tunisia kuja yanga.Hivyo TFF
ipo kwenye utaratibu wa Kuhakikisha Mchezaji huyo anapata haki zake na
anarejea kwenye Soka kama kawaida yake.
Loading...
Post a Comment