Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

Thamani ya Chupa ya Plastic ilivyotoa ajira kwa Vijana Kadhaa Nchini Tanzania




Vijana wamegeuza makazi hapa kwenye eneo la Kukusanyia Chupa chafu za Plastic kwaajili ya Kuziuza Kiwandani,Picha hii imepigwa Ilala Jijini Dsm
.Hili ni Sehemu tu ya eneo linalotumika na Vijana walioamua Kujiajiri kuokota Chupa za Plastic mitaa mbalimbali ya Jiji la Dsm na kuzipeleka Kiwandani tena kwaajili ya kuzalisha Chupa Zingine Mpya.Chupa hizi wanaziridisha kiwandani kwa Malipo,Wanapima Kilo ya Mzigo na wanaelewana Bei.Tunafuatilia Kujua Kilo moja ya Mfuko wa chupa za Plastic unauzwa Shilingi ngapi.

Picha Zote na Camera ya Habari kwanza Blog
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top