Picha
juu na Chini ni Mgombea wa Chadema Kwenye Uchaguzi Mdogo Jimbo la
Kalenga mkoani Iringa Grace Tendega akiongozwa na pikipiki na wapenzi na
wafuasi mbalimbali wa chadema kuchukua fomu za kuwania nafasi hiyo leo
Mgombea wa Chadema Kwenye Uchaguzi Mdogo Jimbo la Kalenga mkoani Iringa Grace Tendega Akipokea fomu kutoka kwa Msimamizi wa Uchaguzi wa
Wilaya ya Iringa,Pedenciana Kisaka leo.
Post a Comment