Waziri wa Mambo
ya Nje Ndugu Bernard Membe akizungumza na waandishi wa habari nje ya
Ukumbi wa NEC mara baada ya kuhojiwa na Kamati Ndogo ya Maadili ambapo
alisema Kamati ya Maadili imeuliza masuala mazito na maswali magumu
yanayohusiana na uvunjaji wa maadili ya uongozi wa chama chetu.
Waziri wa Mambo
ya Nje Ndugu Bernard Membe akizungumza na waandishi wa habari baada ya
kumaliza kuhojiwa na Kamati Ndogo ya Maadili ya CCM mjini Dodoma leo
Februari 16,2014.
*Video:na Muhidin Sufiani-Dodoma
*Video:na Muhidin Sufiani-Dodoma
Post a Comment