Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

MGOMO WA DALADALA MWANZA...WANANCHI WAPANDA MAROLI KUWAHI MAKAZINI.


 HUU USAFIRI AMBAO LEO UMECHUKUA NAFASI JIJINI MWANZA BAADA YA DALADALA KUGOMA.
BORA KUFIKA 
CAMERA YETU ILIMURIKA MAANEO HAYA NA KUONA DALADALA ZIKIWA ZIMEPAKI
MSEMO WA KUFA KUFAANA ULITIMIA,BODABODA WALIKULA VICHWA KWA BEI WATAKAZO

MKUU WA (W) NYAMAGANA BARAKA KONISAGA AKIZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI, MDA MFUPI BAADA YA KUKUTANA NA VIONGOZI MBALI MBALI WA SERIKALI, MADEREVA, NA WADAU WOTE WA USAFIRISHAKI JUU YA MGOMO WA DALADALA JIJINI MWANZA.

ZAIDI KIKAO KIMETOA WITO KWA MADEREVA KUSITISHA MGOMO MARA MOJA, AMBAPO AMESEMA KUWA AMEWAAGIZA WAHUSIKA WA JAMBO HILI KUFUATILIA SUALA HILI MARA MOJA IKIWA NI PAMOJA NA KUJUA NINI MALALAMIKO YA MADEREVA ILI YASHUGHULIKIWE HARAKA IWEZEKANAVYO
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top