Mwenyekiti
wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akiwa na Makamu Mwenyekiti wa CCM, Rais wa
Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein na Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana
baada ya kuwasili ukumbini kuendesha Kikao Maalum Cha Halmashauri Kuu ya
Taifa ya CCM, mjini Dodoma leo, Feb 16, 2014. (Picxha zote na Bashir
Nkoromo)
Wajumbe
wa NEC, na Kamati Kuu ya CCM, Makamu wa Rais, Dk. Mohammed Gharib
Bilal, Waziri Mkuu Mizengo Pinda na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar,
Vuai Ali Vuai wakiwa ukumbini. Kushoto ni Katibu wa NEC Siasa na
Uhusiano wa Kimataifa Dk. Asha-Rose Migiro. Mwenyekiti
wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akiongoza kikao cha NEC, leo Feb 26, 2014.
Kulia ni Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana na kushoto ni Makamu
Mwenyekiti wa CCM Rais wa Zanzibar Dk. Sheni
Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye na Naibu Katibu Mkuu wa
CCM Zanzibar, Vuai Ali Vuai wakijadili jambo ukumbini. Katikati ni
Katibu wa NEC,Oganaizesheni Mohammed Seif Khatib
Mjumbe
wa NEC, Profesa Anna Tibaijuka akimtegea sikio kwa makini mjumbe
mwenzake, Profesa Mark Mwandosya wakati wakiteta jambo ukumbini wakati
wa kikao hicho leo.
Wajumbe wa NEC, Balozi Ali Mchumo na Dk. Asha-Rose Migiri wakijadili jambo ukumbini. Kushoto ni Khatib
Wajumbe ukumbini
Wajumbe ukumbini
Waziri
wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe akizungumza
na Katibu Mkuu wa CCM Mstaafu Martine Shigela nje ya ukumbi, baada ya
kuhojiwa na Kamati ya Maandili ya CCM, leo. Membe baadaye alihudhuria
kikao cha NEC. (PICHA ZOTE NA BASHIR NKOROMO)
Post a Comment