Mkuu wa Mkoa wa Morogoro akimweleza kwa kina hali ilivyokuwa baada ya
kutokea kwa mafuriko Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Said Meck Sadiq.
Nyuma katika picha ni sem trela tano zilizokuwa zimepakia vifaa na vyakula.

Mkurugenzi
wa Home Shopping Centre Gharib Said Mohammed (GSM) kushoto akitembea na
Mku wa Mkoa wa Dar es Salaam Said Meki Sadiq katika daraja
lilosababisha watu wa kutoka Dar kwenda Dodoma kusimama kwa muda.

Waathirika wa mafuriko wakimsikiliza Mkuu wa
Mkoa wa Dar es Salaam Said Meck Sadiq

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Meck Sadiq akimshukuru mmoja wa wafanyabiashara wa Mkoa wa Dar es Salaam Rumin Shar kutoka kampuni ya Pan Africa Enterprises Ltd baada ya Kampuni yao kutoa magodoro 200 aina ya Comfy kwa ajili ya waathirika wa mafuriko yaliyotokea wiki iliyopita eneo la Dakawa mkoani humo na kusababisha kifo cha mtu mmoja na kuwaacha mamia bila makazi.

Post a Comment