Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

UFUNGAJI WA VITI KWA MATUMIZI YA BUNGE LA KATIBA WAKAMILIKA


Mhe Spika Anne Makinda akikagua kazi baada ya ufungaji wa Vito ndani ya ukumbi huo kukamilika.Mwingine pichani ni Mkandarasi Dr.David Zachariah wa Computer Consult ambao ni wakandarasi wa mradi huo wa ufungaji viti.Vito hivyo ni mahsusi kwa matumizi ya Bunge la Katiba.
Viti vipya tayari kwa matumizi ya Bunge Maalum la Katiba.
Dr David Zachariah wa Computer Consult akimtambulisha mtaalamu wake wa mradi wa Viti,Bw.Sidney Robson kutoka Afrika Kusini.Mradi huo umekamilika tayari kwa matumizi ya Bunge la Katiba. Picha kwa hisani ya Ofisi ya Bunge
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top