 |
| Bibi
Enea mwenye umri zaidi ya miaka 80 akilia kwa uchungu kuwa vitu vyote
vya ndani vimeharibika pia anamshukuru mungu kumponya na mafuriko hayo
kwani alikuwa amelala maji ndiyo yamestua kitandani kwani maji yaliingia
mpaka ndani |
 |
Bibi Enea mwenye umri zaidi ya miaka 80 mkazi wa
Ilolo akituonyesha jinsi maji yalivyoharibu vitu vyake
|
 |
Kanisa la Moravian
Ilolo likiwa limejaa maji ndani
|
 |
Hakika inasikitisha
watoto hawa wametoka shule wanakuta nyumba yao imebomoka na mvua kubwa
ilionyesha jijini Mbeya wazahi wa watoto hao hawakuwepo nyumbani
|
 |
Mwenyekiti wa mataa
Sinde A Anyandwile Mwansanu akiongea na waandishi wa habari
|
 |
Mama na mwanae
mgongoni hajui aanzie wapi kutoa maji yalioingia nyumbani kwake
|
 |
|
Picha na Mbeya yetu
|
on Tuesday, February 4, 2014
Post a Comment