Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

WAZIRI MAGHEMBE ATEMBELEA MRADI WA DHARURA KARATU

IMG_20140131_113854

IMG_20140131_103437Mkurugenzi wa AUWSA, Inj. Ruth Koya akisoma Ripoti ya Maji ya Halmashauri ya Wilaya ya Karatu kwa Waziri wa Maji, Prof. Jumannne Maghembe.
.Mradi huo mahsusi kwa ajili ya kukabiliana na upungufu mkubwa wa maji mjini Karatu unasimamiwa na Mamlaka ya Majisafi na Majitaka Jijini Arusha (AUWSA).  Pia, Prof. Maghembe alitembelea Halmashauri ya Mji wa Karatu kuangalia hali ya upatikanaji wa maji na utekelezaji wa miradi ya maji wilayani humo katika programu ya vijiji 10 ya BRN.
Waziri wa Maji, Prof. Jumanne Maghembe mwishoni mwa wiki alitembelea mradi wa maji wa dharura Karatu Mjini kuona utekelezaji wake.IMG_20140131_112101Miundombinu ya mradi wa maji wa dharura Karatu Mjini

IMG_20140131_113854
Waziri wa Maji, Prof. Jumanne Maghembe, akiangalia tanki la maji la mradi wa dharura wa Karatu Mjini, huku akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa AUWSA, Inj. Ruth Koya. IMG_20140131_113854_1
Waziri wa Maji, Prof. Jumanne Maghembe, akiangalia tanki la maji la mradi wa dharura wa Karatu Mjini, huku akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa AUWSA, Inj. Ruth Koya. IMG_20140131_122943
Waziri wa Maji, Prof. Jumanne Maghembe akimtwisha ndoo ya maji mmoja wa wakazi wa Karatu Mjini.IMG_20140131_155649
Waziri wa Maji, Prof. Jumanne Maghembe akiwa na mwenyeji wake Mkuu wa Wilaya ya Karatu, Felix Ntibenda (kulia) na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Karatu, Moses Mabula.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top