Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

MZUNGUKO WA PILI LIGI KUU ZANZIBAR WAANZA

 Amour Haji wa timu ya Mtende (kushoto) akijarbu kumtoka Yussuf Mfaume wa Jamhuri jana kwenye uwanja wa Amaan. Mtende Rangers lishinda bao 1 - 0.Mtende Rangers ya Zanzibar, jana iliisambaratisha timu ya Jamhuri kutoka Pemba bao 1 - 0 kwenye uwanja wa Amaan mjini Zanzibar mchezo wa kwanza wa mzunguko wa pili wa ligi kuu ya Grand malt ya zanzibar. Picha zote na Martin Kabemba.
 Bakari Khamis wa Jamhuri (kushoto) akiwania mpira na Abeid Salumu wa Mtende Rangers. Matokeo Mtende 1 Jamhuri 0
  Mlinzi wa Mtende Rangers, Fauzi Ali akijiandaa kupiga mpira mbele ya Ramadhan Hassan wa Jamhuri (kulia). Mtende 1 jamhuri 0.chanzo jiachie blog
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top