Mhariri
Mtendaji wa New Habari 2006 Ltd, wachapishaji wa magazeti ya Mtanzania,
Rai, Bingwa, Dimba na The African, Absalom Kibanda, akizungumza na
wafanyakazi wa Kampuni hiyo, hawapo pichani katika hafla fupi ya
kumpongeza kwa ushindi wake katika kesi iliyokuwa ikimkabili iliyodaiwa
kuwa ni uchochezi. Halfa hiyo ilifanyika katika ofisi za Kampuni hiyo,
zilizopo Sinza Kijiweni, juzi.
Absalom
Kibanda (kushoto) akifurahia jambo kutoka kwa MC, Sidi Mgumia, ambaye
ni mwandishi wa Gazeti la The African (katikati yao) ni Ofisa Mtendaji
Mkuu wa New Habari, Hussein Bashe.
Baadhi ya wafanyakazi wa Kampuni hiyo, Hassan Bumbuli, Jonathan Tito, Kambi Mbwana, Grace Hoka na Mareges Paul wakishiriki.
Kila mmoja macho mbelee, Hongera bwana Abasalom Kibanda..
Waandishi wa habari za michezo wa New Habari, (kulia) ni Zaituni Kibwana na Jenifer Ullembo, wakipozi...
Muda wa burudani ukafika, Kwaito kwa kwenda mbele.
Mhariri
wa Michezo wa Gazeti la Mtanzania, akiwaongoza wenzake kusebeneka
katika sherehe hiyo iliyofanyika juzi. Nyuma ya Mwani Nyangassa ni
Esther Mbusi, Mwenye miwani ni baba shughuli, Absalom Kibanda. Picha
zote kwa hisani ya Kambi Mbwana wa Handeni kwetu.
Post a Comment