Makamu
wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad,
akisalimiana na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Japan Norio Mitsuya,
alipofika nyumbani kwake Mbweni kwa ajili ya mazungumzo.
Naibu
Waziri wa Mambo ya Nje wa Japan Norio Mitsuya, akisisitiza jambo wakati
wa mazungumzo yake na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim
Seif Sharif Hamad, nyumbani kwake Mbweni.
Makamu
wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akipokea
zawadi kutoka kwa Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Japan Norio Mitsuya
baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika nyumbani kwake Mbweni.
Makamu
wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akiagana
na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Japan Norio Mitsuya baada ya
mazungumzo yao yaliyofanyika nyumbani kwake Mbweni. (PICHA na Salmin
Said OMKR)
Post a Comment