Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akitumbukiza kura yake ya kumchagua
Mwakilishi wa Jimbo la Kiembesamaki, wakati wa uchaguzi mdogo wa Uwakilishi wa
Jimbo hilo, uliofanyika leo asubuhi mjini Zanzibar. . Uchaguzi huo umefanyika
baada ya aliyekuwa Mwakilishi wa Jimbo hilo, Mansour Yusuph Himid, kuvuliwa
uanachama mwishoni mwa mwaka uliopita.![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhT2mzwxz26ELy4eFdSTcfZ2Pabf7SI-ogTK7ket0IpoN2CVFuByJU22hc1mTtMkfwYjGdHig8g-UXQsJiY3RJGrMmPYaGnfCbouL97z5jRYk-DEAq8dw9PI3mmyv1-pWAyGh2NNTSw/s1600/1.jpg)
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhT2mzwxz26ELy4eFdSTcfZ2Pabf7SI-ogTK7ket0IpoN2CVFuByJU22hc1mTtMkfwYjGdHig8g-UXQsJiY3RJGrMmPYaGnfCbouL97z5jRYk-DEAq8dw9PI3mmyv1-pWAyGh2NNTSw/s1600/1.jpg)
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiwasili kwenye Kituo chake cha kupigia Kura, kwa ajili ya kushiriki kupiga
kura ya kumchagua Mwakilishi wa Jimbo la Kiembesamaki katika uchaguzi mdogo,
uliofanyika leo mjini Zanzibar leo asubuhi. Kushoto ni Mgombea wa Jimbo hilo,
Mahmoud Thabit Kombo. Uchaguzi huo umefanyika baada ya aliyekuwa Mwakilishi wa
Jimbo hilo, Mansour Yusuph Himid, kuvuliwa uanachama mwishoni mwa mwaka
uliopita .
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akimchagua kwa siri mgombea wa Jimbo la Kiembesamaki, katika uchaguzi mdogo wa
Mwakilishi wa Jimbo hilo, uliofanyika leo mjini Zanzibar. Uchaguzi huo
umefanyika baada ya aliyekuwa Mwakilishi wa Jimbo hilo, Mansour Yusuph Himid,
kuvuliwa uanachama mwishoni mwa mwaka uliopita.
Baadhi
ya Wananchi wakisoma ubao wa matangazo kutafuta eneo walilopangiwa kupigia kura
ya kumchagua Mwakilishi wa Jimbo la Kiembesamaki, wakati wa zoezi hilo
lililofanyika leo asubuhi mjini Zanzibar.

Post a Comment