Moja
ya mabango yaliyozinduliwa na Rais Jakaya Kikwete usiku wa kuamkia leo
kwa ajili ya kuhamasisha wananchi kupiga vita mauaji ya Tembo na Faru
nchini.
Rais
Jakaya Kikwete (kulia) akibofya kwenye kompyuta kuzindua rasmi mabango
hayo ya kuhamasisha wananchi kupiga vita mauaji ya Tembo na Faru
kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam..
Kulia kwake ni Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Mahamoud
Mgimwa. PICHA ZOTE NA KAMANDA WA MATUKIO BLOG
Rais
Jakaya Kikwete akizungumza wakati wa uzinduzi wa mabango ya kuhamasisha
wananchi kupiga vita mauaji ya Tembo na Far baada ya kuyazindua rasmi
kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam
juzi.
Moja ya mabango hayo likiwa nje ya Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam
Rais
Jakaya Kikwete akizungumza wakati wa uzinduzi wa mabango ya kuhamasisha
wananchi kupiga vita mauaji ya Tembo na Farubaada ya kuyazindua rasmi
kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam.
Kulia ni OfisaMtendaji Mkuu wa Kampuni ya Jambo Concepts Tanzania
Limited, Juma Pinto.Kulia kwake ni Naibu Waziri wa Maliasili na
Utalii,Dk. Mahamoud Mgimwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said
Sadick (kushoto kwake).
Naibu
Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Mahamoud Mgimwa (wa pili kushoto),
akiwa na Ofisa Mteendaji Mkuu wa Kampuni ya Jambo Concepts Tanzania
Limited (JCTL), Juma Pinto (wa pili kulia) pamoja na Mkurugenzi wa JCTL,
Juma Mabakila walipokuwa wakimsubiri Rais Jakaya Kikwete kuzinduz
mabango hayo.
Mfanyakazi wa JCTL Baraka Baraka akiweka sawa mitambo ili matangazo hayo yaonekane vizuri
Rais
Jakaya Kikwete akisalimiana na Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na
Utalii, alipowasili katika hafla ya uzinduzi wa mabango hayo
yatakayosambazwa sehemu mbalimbali nchini.
Sehemu ya umati ulioshiriki katika hafla hiyo ya uzinduzi wa mabango
Mmiliki wa Blog ya Wananchi, William Malecela akijadiliana jambo na Juma Pinto
JK akiwa katika hafla hiyo
Post a Comment