Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

BREAKING NEWSssss ..... CHADEMA KALENGA WAMCHAGUA MWANASHERIA MWENDA KUMVAA MTOTO WA MGIMWA

 



Wajumbe  wa mkutano  mkuu wa kura za maoni jimbo la Kalenga  wametegua kitendawili  cha nani kati ya  makada 13 atakayevaana na CCM katika uchaguzi huo baada ya kumchagua kwa kura za kishindo mwanasheria Sinkala Mwenda kwa kura 132 dhidi ya kura 122 alizopata mpinzani  wake wa karibu Grace Tendega huku  Zuberi Mwachura  akiambulia   0 katika uchaguzi huo matokeo  zaidi  hivi  punde


 
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top