Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

REAL YATINGA FAINALI KOMBE LA MFALME KWA MABAO YA RONALDO

REAL Madrid imefanikiwa kuingia Fainali ya Kombe la Mfalme baada ya usiku wa jana kuizamisha Atletico Madrid kwa mabao 2-0 katika nusu Fainali ya pili.
Shukrani kwake Mwanasoka Bora wa Dunia, Cristiano Ronaldo aliyefunga kwa penalti mara mbili dakika ya saba na 16 na kufanya vigogo hao wa Hispania wasonge mbele kwa ushindi wa jumla wa mabao 5-0.
Real sasa inaweza kukutana na barcelona katika fainali ya michuano hiyo Aprili 19 mwaka huu.
We mkali: Sergio Ramos (kulia) akifurahia na Cristiano Ronaldo baada ya kufunga janaWithdrawal: Ronaldo was taken off in the 75th minute for wonderkid Jese
Lakini alitoka: Ronaldo alitoka uwanjani dakika ya 75 kumpisha kinda mwenye kipaji Jese
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top