Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiweka saini katika kitabu cha maombolezo wakati
alipowasili kwenye hafla rasmi ya mazishi ya Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar
es salaam Marehemu Balozi Fulgence Kazaura katika ukumbi wa Nkrumah
Chuoni hapo leo February 27, 2014. Nyuma yake ni Makamu Mkuu wa Chuo
Kikuu Cha Dar es salaam Profesa Rwekaza Mukandara na Mkuu wa Mkoa wa Dar
es salaam Mhe saidi Meck Sadick.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na waombolezaji wengine kwenye hafla rasmi
ya mazishi ya Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam Marehemu Balozi
Fulgence Kazaura katika ukumbi wa Nkrumah Chuoni hapo leo February 27,
2014.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akitoa heshima zake za mwisho kwa Mkuu wa Chuo
Kikuu cha Dar es salaam Marehemu Balozi Fulgence Kazaura katika ukumbi
wa Nkrumah Chuoni hapo leo February 27, 2014.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akifariji familia ya marehemu kwenye hafla rasmi
ya mazishi ya Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam Marehemu Balozi
Fulgence Kazaura katika ukumbi wa Nkrumah Chuoni hapo leo February 27,
2014. PICHA NA IKULU
Post a Comment