Viongozi
mbalimbali wakiwa wanamngojea Mgeni Rasmi Kuwasili Mheshimiwa Dk.
Jakaya Mrisho kiwete , Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kuwasili
Mgeni
Rasmi Kuwasili Mheshimiwa Dk. Jakaya Mrisho kiwete , Rais wa Jamuhuri
ya Muungano wa Tanzania akiwa amewasili kwa ajili ya uzinduzi Rasmi wa
Mtambo Maalum wa Usimamizi na Uhakiki wa mawasiliano ya Simu , Makao
Makuu ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA)
Mheshimiwa
Dk. Jakaya Mrisho kiwete , Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania
akisalimiana na viongozi mbalimbali mara baada ya kuwasili kwake
Hili ni eneo maalum ambapo ndipo uzindizi huo ulifanyika
Mgeni
Rasmi Kuwasili Mheshimiwa Dk. Jakaya Mrisho kiwete , Rais wa Jamuhuri
ya Muungano wa Tanzania akizindua Rasmi Mtambo Maalum wa Usimamizi na
Uhakiki wa mawasiliano ya Simu kwa kukata utepe ambapo sherehe hizo
zilifanyika Makao Makuu ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA)
Mheshimiwa
Dk. Jakaya Mrisho kiwete , Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania
akiwa akiwa katika 'Laptop' kwa ajili ya kubofya ili kuruhusu Rasmi
mtambo huo kuanza kufanya kazi.
Mkurugenzi
Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Profesa John Nkoma
akitoa Maelezo ya kina kwa Mheshimiwa Dk. Jakaya Mrisho kiwete , Rais wa
Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania jinsi Mtambo huo unavyofanya kazi
Mheshimiwa
Dk. Jakaya Mrisho kiwete , Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania
akizungumza Jambo wakati wa uzinduzi Rasmi wa Mtambo huo.
Mheshimiwa
Dk. Jakaya Mrisho kiwete , Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania wa
katikati akiwa ameongozana na na Mheshimiwa Profesa Makame Mbarawa
Waziri wa Mawasiliano Sayansi na Tekinokojia (wa upande wa kushoto)
Pamoja na Waziri wa Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo Mheshimiwa Dk.
Fenela Mukangara (wa upande wa kulia) wakiwa wanaingia katika viwanja
vya TCRA kwa ajili ya Sherehe hizo.
Wimbo wa Taifa ukiwa unaimba wakati wa Sherehe hizo.
Meneja
Mahusiano wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA),Inocent Mungy
akitoa maelekezo Mbalimbali wakati wa Sherehe za uzinduzi wa Mtambo
Maalum wa Usimamizi na Uhakiki wa mawasiliano ya Simu
Burudani ikiwa inaendelea
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Profesa John
Nkoma akiwakaribisha wageni waalikwa na kuelezea juu ya Mtambo
Maalum wa Usimamizi na Uhakiki wa mawasiliano ya Simu , ongezeko la
pato linalotokana na mtambo huo, pamoja na malengo ya baadae ya
kuboresha huduma za mawasiliano Tanzania
Mkurugenzi
Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Profesa John Nkoma
akikabidhi Mfano wa hundi kwa ajili ya fedha zilizopatikana kutokana na
Mtambo huo.
Mkurugenzi
Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Profesa John Nkoma
akikabidhi Baasha inayo onesha uthibitisho wa malipo hayo.
Kaimu
Mwenyekiti wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania Injinia Salmin Senga
Salmin akitoa maelezo zaidi kuhusu Mtambo Maalum wa Usimamizi na
Uhakiki wa Simu.
Mheshimiwa
Profesa Makame Mbarawa Waziri wa Mawasiliano Sayansi na Tekinokojia
akimkaribisha Mgeni Rasmi Mheshimiwa Dk. Jakaya Mrisho kiwete , Rais
wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, kutoa hotuba yake
Mgeni
Rasmi Mheshimiwa Dk. Jakaya Mrisho kiwete , Rais wa Jamuhuri ya
Muungano wa Tanzania, akitoa hotuba yake, katika Hotuba hiyo aliipongeza
Mamlaka ya Mawasiliano ya Tanzania kwa kazi kubwa wanayo ifanya na
kuonesha ni jinsi gani wanarahisisha suala zima la mawasiliano.
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Profesa John Nkoma akizungumza jambo na Rais Dk. Jakaya Kikwete
Kutoka
Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Sadick Meck akiwa na Waziri wa
Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo Mheshimiwa Dk. Fenela Mukangara wa
kati kati pamoja na Mheshimiwa Profesa Makame Mbarawa Waziri wa
Mawasiliano Sayansi na Tekinokojia
Mkurugenzi
Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Profesa John Nkoma
akimshukuru Rais Dk. Jakaya Kikwete kwa Hotuba yake.
Waziri
wa Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo Mheshimiwa Dk. Fenela Mukangara
akitoa neno la Shukurani kwa Rais Dk. Jakaya Kikwete kwa kuhudhuria
Sherehe hizo za Uzinduzi Rasmi wa Mtambo Maalum wa Usimamizi na Uhakiki wa mawasiliano ya Simu
Picha ya Pamoja
Kundi la Mrisho Mpoto
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Profesa John Nkoma akiagana na Rais Dk. Jakaya Kikwete
Rais Dk. Jakaya Kikwete akiagana na Viongozi Mbalimbali
Viongozi Mbalimbali wakiagana
Bendi ya Jeshi la Polisi ikitumbuiza
Bendi ya Mrisho Mpoto ikitumbuiza
Viongozi na wageni waalikwa
Picha zote na Dar es salaam yetu blog/Blogs za Mikoa
Post a Comment