Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho
Kikwete(pichani), leo, Ijumaa, Januari 31, 2013, hatahutubia wananchi
kupitia utaratibu wa Hotuba ya Mwisho wa Mwezi.Badala
yake, Mheshimiwa Rais atahutubia Taifa keshokutwa, Jumapili, Januari
2, 2014 kutoka mjini Mbeya ambako atafanya ziara ya kikazi ya siku tatu
kuanzia kesho.
Loading...
Post a Comment