Meneja
wa Rwanda Air, Kanda ya Kusini, Hafeez Balogun akitoa mada wakati wa
semina kwa ajili ya mawakala wa mashirika ya ndege iliyofanyika jijini
Dar es Salaam.
Meneja
Mauzo wa Rwanda Air, Dhruv Parmar akitoa mada wakati wa semina kwa
ajili ya mawakala wa mashirika ya ndege iliyofanyika jijini Dar es
Salaam.
Maofisa wa Air Rwanda wakiwa wamepozi kwa picha.
Mkurugenzi
Mtendaji wa kampuni ya Five Star Tours, Harry Pietersen (kulia),
akimkabidhi cheti, mshauri wa kampuni ya uwakala wa ndege ya Safeline
Osbert Barongo baada ya kushika nafasi ya tatu kwa kutoa huduma bora
wakati semina iliyoandaliwa na Rwanda Air kwa ajili ya mawakala wake
jijini Dar es Salaam. Katikati ni Meneja wa Rwanda Air Kanda ya Kusini,
Hafeez Balogun.
Post a Comment