Spika
wa Bunge Mhe. Anna Makinda akijaribu mojawapo ya viti vipya
vilivyofungwa katika ukumbi wa Bunge tayari kwa ajiri ya Matumizi wakati
wa Bunge la Katiba. Mhe. Makinda aliongoza ujumbe wa Tume ya Utumishi
wa Bnge kufanya ukaguzi wa mwisho kabla ukumbi huo haujakabidhiwa kwa
Sekretariat ya Bunge la Katiba Jumatano wiki hii.
Spika
wa Bunge Mhe. Anna Makinda, (katikati) Naibu Spika Mhe. Job Ndugai
(kushoto), Katibu wa Bunge (Wa pili Kulia) na Mhe. Hamadi Rashid Mohamed
Kulia wakiangalia baadhi ya maboresho yaliyofanywa katika Ukumbi wa
Bunge kwa ajili ya Bunge la Katiba.
Muonekano wa Ndani ya ukumbi huo baada ya kazi ya uwekaji viti kukamilika.
Mojawapo ya viti maalum vilivyowekwea katika ukumbi huo kwa ajili ya matumizi ya watu wenye ulemavu.
Viti vyote vipya vina nembo ya taifa.
Spika
wa Bunge Mhe. Anna Makinda pamoja na wajumbe wa Tume ya Utumishi wa
Bunge wakiwa katika picha ya pamoja na Wafanyakazi walioshiriki
kuukarabati ukumbi wa Bunge kwa ajiri ya matumizi ya Bunge la Katiba.
Picha kwa hisani ya Bunge.
Post a Comment