Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

SHUGHULI ZA MIAKA 37 YA CCM MBEYA

 


3Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akishiriki ukarabati wa ngazi kwenye bustani ya jiji la Mbeya mahali ambapo Rais Jakaya Kikwete atapokea mtembezi ya mshikamano.
 4Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akikata utepe wakati akizindua tawi namba 2 la Inyala Kata ya Iyunga. Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akipandisha bendera baada ya kulizindua tawi la namba 2 la Inyala kata ya Inyala jijini Mbeya katika muendelezo wa shughuli mbalimbali kuelekea maadhimisho ya miaka 37 ya Chama cha Mapinduzi CCM mkoani Mbeya yanayotarajiwa kufanyika kesho kwenye uwanja wa Sokoine 6Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akigawa kadi katika tawi la namba 2 la Inyala kata ya Iyunga.



 7Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akizungumza na wanachama wa chama cha Mapinduzi tawi la Iyunga Kata ya Iyunga mara baada ya kuzindua tawi hilo.
 8Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akizungumza na wanachama wa chama cha Mapinduzi tawi la Iyunga Kata ya Iyunga mara baada ya kuzindua tawi hilo.
 9Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye kushoto akikatiza mitaa ya Mwanjelwa na baadhi ya wana CCM wakati akizindua matawi ya kata ya Rwanda.(PICHA NA KIKOSIKAZI CHA FULLSHANGWE-MBEYA) 
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top